Ingia / Jisajili

Mimi ndimi chakula cha uzima

Mtunzi: Gabriel N. Kimani
> Mfahamu Zaidi Gabriel N. Kimani
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel N. Kimani

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gabriel Kimani

Umepakuliwa mara 23 | Umetazamwa mara 45

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MIMI NDIMI CHAKULA CHA UZIMA Mimi ndimi chakula cha uzima X2 Mimi ndimi kinywaji cha uzima X2 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu huyo anao uzima uzima milele X2 1. Aulaye mwili wangu mimi na kuinywa damu yangu huyo anao uzima uzima milele 2. Mtu akila chakula hiki ana uzima milele nami nitamfufua siku ya mwisho 3. Chakula hiki ninachowapa ni mwili na damu yangu ni kwa ajili ya uzima uzima milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa