Ingia / Jisajili

Twendeni Wote

Mtunzi: Gabriel N. Kimani
> Mfahamu Zaidi Gabriel N. Kimani
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel N. Kimani

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gabriel Kimani

Umepakuliwa mara 74 | Umetazamwa mara 258

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TWENDENI KWA KARAMU Twendeni twendeni wote, twendeni wote kwa karamu, Karamu aliyoiandaa Bwana wetu Yesu Kristu x2 1. Bwana Yesu kaandaa karamu, ya mwili wake pia damu yake 2. Mwili wake ni chakula cha roho, damu yake ni kinywaji cha roho 3. Ni mwaliko kutoka kwake Bwana, kwa wote walio safi wa moyo 4. Jitakaze ndugu mbele ya kwenda, kwa karamu hii ya watakatifu 5. Ni upendo anaotuonyesha, kujitoa katika Ekaristi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa