Ingia / Jisajili

Enendeni

Mtunzi: Gabriel N. Kimani
> Mfahamu Zaidi Gabriel N. Kimani
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel N. Kimani

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Miito

Umepakiwa na: Gabriel Kimani

Umepakuliwa mara 354 | Umetazamwa mara 871

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enendeni Enendeni X4 mkalihubiri neno langu kwa mataifa yote (aa) enendeni X2 1. Enendeni kwa mataifa, wafanyeni wanafunzi wangu, mkiwafundisha niliyowafunza, enendeni nyote enendeni. 2. Enendeni mkawabatize, muwabatize waaminio, kwa jina la Baba kwa jina la mwana, la roho mtakatifu enendeni. 3. Enendeni ulimwenguni, enendeni muwe mashahidi, mkayahubiri mliyoyaona enendeni nyote enendeni. 4. Enendeni kwao mataifa, wahubirie habari njema, na mwafundushe kunifuata mimi enendeni nyote enendeni 5. Enendeni kwa ushujaa, enendeni kote bila hofu, kwani niko nanyi leo hata kesho na milele yote enendeni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa