Ingia / Jisajili

Moyo wa Yesu Kristu

Mtunzi: Gabriel N. Kimani
> Mfahamu Zaidi Gabriel N. Kimani
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel N. Kimani

Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Gabriel Kimani

Umepakuliwa mara 434 | Umetazamwa mara 1,283

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MOYO WA YESU 1. (Bass) Ni wa nani moyo huu uliojaa mapendo? – (All) Ni moyo wa Yesu Kristu(moyo) wa Yesu Kristu (Bass) Ni wa nani moyo huu mwenye nehema tele tele? – (All) Ni moyo wa Yesu Kristu(moyo) wa Yesu Kristu Tufurahie tushangilie, tutukuze moyo huu, moyo uliyofanyika sadaka ya upatanisho, moyo wake Yesu Kristu chemichemi ya amani, moyo uliyotolewa kama dhabahu takatifu, moyo wake Yesu Kristu ishara ya pendo kuu 2. Ni wa nani moyo ulio hekalu takatifu? – Ni wa nani moyo ulio mlango wa mbinguni? – 3. Ni wa nani moyo chombo cha haki pia upendo? – Ni wa nani moyo ulio kilindi cha fadhili? – 4. Ni wa nani moyo uliostahili sifa zote? – Ni wa nani moyo unaotawala mioyo yetu? – 5. Ni wa nani moyoulioungana na neno la Mungu? – Ni wa nani moyo mwenye utukufu bila mfano? – 6. Ni wa nani moyo mwenye uvumilivu na huruma?– Ni wa nani moyo ulio malipo kwa dhambi zetu? – 7. Ni wa nani moyo ulio chemichemi ya uzima? – Ni wa nani moyo chechemi ya utakatifu? – 8. Ni wa nani moyo ulio chemichemi ya faraja? – 44 Ni wa nani moyo uzima na ufufuo wetu? –

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa