Ingia / Jisajili

BWANA HARUSI HONGERA

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 1,602 | Umetazamwa mara 3,535

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
 BWANA HARUSI HONGERA
Bwana harusi  hongera hongera  Sana kwa kufunga ndoa iliyo takatifu nakuthibitisha upendo wako Kwa mungu. Bibi  harusi hongera gingers Sana Kwa kufunga ndoa iliyotakatifu nakuthibitisha  upendo wenu  Kwan Mingus. Mkaishi kuafuraha mkaishi kwa amanie Kama vile kristu alivyo tuangiza. 
1.Pendaneni mkaishi kwa furaha Kama baba mungu alivyo wapenda. 
2.Pendaneni mkaishi kwa amani kama baba mungu alivyo wapenda 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa