Ingia / Jisajili

Mungu Wangu Mbona Umeniacha

Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mazishi

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 628 | Umetazamwa mara 2,788

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

 

Kiitikio

Mungu wangu mbona umeniacha Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha *2

Wale wote wanionao wale wanioao hunicheka sana hunicheka  sana *2

 

Mashairi

1.Ma a na mbwa mwitu wame nizingi ra sa na mi mi ku sa nyi nyi ko la wa o vu wa me ni so nga wa me ni so nga sa na sa na

2.Wa na ga wa nya ngu o za ngu wa na zi pi gi a ku ra na we Bwa na u si we mba li fa nya ha ra ka uniokoe

3.Ka ti ka ku sa nyi ko ni ta li hu bi ri ji na la ko na ni mu mcha o Bwa na li si fu ni li si fu ni ji na lake


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa