Mtunzi: John Kam's(Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kam's(Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kam's(Jk)
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: John michael
Umepakuliwa mara 895 | Umetazamwa mara 2,652
Download Nota Download MidiKiitikio Ee Bwana Mungu wangu nalikulilia ukaniponya aleluya×2 Mashairi 1.Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu 2.Umeniinua nafsi yangu ee Bwana kutoka kuzimu umenihuisha na kunitoa miongoni mwao washukao shimoni 3.Mwimbieni bwana mwimbieni zaburi enyi wataua wake na kufanya shukrani 4.Ee Bwana usikie unirehemu ee Bwana uwe msaidizi msaidizi msaidizi wangu