Mtunzi: John Kam's(Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kam's(Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kam's(Jk)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: John michael
Umepakuliwa mara 1,023 | Umetazamwa mara 3,603
Download Nota Download MidiKiitikio Ee Mungu ee Mungu ee Mungu wangu (Mungu wangu) nitakutafuta mapema×2 Nafsi yangu inakuonea kiu (mwili wangu) mwili wangu unakuonea shauku Mashairi 1.Ndivyo nilivyo kutazama katika patakatifu pako nizione nguvu zako na utukufu wako 2.Maana fadhili zako ni njema kuliko kuliko uhai midomo yangu imejaa utukufu wako 3.Ndivyo nitakavyokubariki maadamu nihai nihai kwa jina lako nitaiinua mikono yangu 4.Nafsi yangu inakuandama sana mkono wako wa kuume mkono wakuume wakuume unanitegemeza