Ingia / Jisajili

Ee Mungu,mungu Wangu

Mtunzi: John Kam's(Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kam's(Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kam's(Jk)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: John michael

Umepakuliwa mara 290 | Umetazamwa mara 1,540

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Ee mungu ee Mungu ee Mungu wangu (Mungu wangu) nitakutafuta mapema×2 nafsi yangu inakuonea kiu mwili wangu mwili wangu unakuonea shauku×2. 1.Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu pako, nizione nguvu zako na utukufu wako 2.Maana fadhili zako ninjema kuliko kuliko uhai midomo yanhu imejaa utukufu wako. 3.Ndivyo nitakavyokubariki maadamu nihai nihai kwa jina lako nitaiinua mikono yangu 4.Nafsi yangu inakuandama sana mkino wako wakuume mkono wakuume wakuume unanitegemeza

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa