Mtunzi: John Kam's(Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kam's(Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kam's(Jk)
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mazishi
Umepakiwa na: John michael
Umepakuliwa mara 1,532 | Umetazamwa mara 4,542
Download Nota Download MidiSisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi tumkumbuke muumba wetu kabla sikuzetu hazijafika kurusi tena mavumbini×2 1. Mwqnadamu kumbuka ya kuwa umavumbe wewe tumkumbuke muumba wetu kabla siku zeetu hazija fika kurudi tena mavumbini 2. Tubuni nakuiamini injili yake bwana tumkumbuke muumba wetu kabla siku zeetu hazija fika kurudi tena mavumbini 3. Tugeuze mwenendo wetu kwa majivu haya tumkumbuke muumba wetu kabla aiku zetu hazijafika kurudi tena mavumbini