Ingia / Jisajili

Mungu Roho Mtakatifu

Mtunzi: John Kam's(Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kam's(Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kam's(Jk)

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: John michael

Umepakuliwa mara 403 | Umetazamwa mara 1,257

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO:Utatu mtakatifu ni Mungu mmoja Mungu baba Mungu mwana Mungu roho mthakatifu ndie mfariji na msaidizi MASHAIRI: 1.Mungu roho mtakatifu mfariji wetu atupae na nguvu za kushinda imani 2.Aliwatoa ndani wanafunzi wa Yesu ili neno la bwana lihubiriwe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa