Mtunzi: John Kam's(Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kam's(Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kam's(Jk)
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: John michael
Umepakuliwa mara 1,397 | Umetazamwa mara 3,841
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C
INGEKUWA HERI Ingekuwa heri leo msikie sa uti yake msifanye migumu mioyo yenu×2 1. Njoni tu muimbie bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu tuje mbele zake kwashukrani tumfanyie shangwe kwa zaburi 2. Njoni tuabudu tusujudu tupige magoti mbe za bwana Mungu wetu nasi tu watu wa malisho yake na kondoi za mkoni wake 3. Kama vile huko meriba kama siku wa masa jangwani hapo walipo nijaribu baba zenu wakanipima wakayaona matendo yangu