Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 1,239 | Umetazamwa mara 2,819
Download Nota Download MidiEe Bwana ee Bwana nakuinuli-a, nakuinulia nafsi ya-ngu X2.
1. Ee Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako, uniongoze katika kweli yako na kunifundisha.
2. Bwana yu mwema na mwenye adili, kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia, wenye upole atawaongoza katika hukumu, wenye upole atawafundisha njia yake.
3. Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, kwao walishikao agano nazo njia zake, siri ya Bwana iko kwao wa-mchao, naye atawajulisha agano lake.