Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu wote

Maneno ya wimbo

Ee Bwana ulimwengu wote u katika uwezo wako, wala hakuna awezaye kukupinga Bwana ukipenda x2.

1.Wewe umeumba vyote mbingu na nchi na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya mbingu ndiwe Bwana wa yote.

2.Ee Bwana ulimwengu wote u katika uwezo wako wala hakuna awezaye kukupinga kukupinga ukipenda.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa