Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 460 | Umetazamwa mara 1,654
Download Nota Download MidiNdiwe kuhani hata milele x2 {kwa mfano wa Melkisedeki, kwa mfano wa Melkisedeki kwa mfano wa Melkisedeki wa Melkisedeki x2}
1.Neno la Bwana kwa Bwana wangu, huketi mkono wangu wa kuume.
2.Hata niwafanyapo adui zako kuwa chini ya mikono yako.
3.Bwana atainyosha Sayuni fimbo ya nguvu zako, uwe na enzi kati ya adui zako.