Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 561 | Umetazamwa mara 1,751
Download Nota Download MidiAmezaliwa Mwokozi mwana wa Daudi mkombozi wa ulimwengu mwenye uweza mabegani pake leo amezaliwa x2 {Hongera Mama Maria Mama umebarikiwa na Yesu Kristo mzao wa tumbo lako amebarikiwa Hongera Mama Maria x2}
1.( Usiku) pangongi mwa malisho ya Ng'ombe Mwokozi amezaliwa, Bikira Maria na Yusuph pamoja ni Familia takatifu wewe umebarikiwa Maria Maria Hongera hongera.
2.(Twendeni) twendeni Bethlehemu twendeni tukamwone Bwana Yesu tumpe, tukampe na Zawadi uvumba uvumba na manemane wewe umebarikiwa Maria Maria Hongera hongera.