Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 3,319 | Umetazamwa mara 6,604
Download Nota Download MidiKiitikio
( Ee Bwana uwape amani wakungojao, ili watu wawasadiki ili watu wawasadiki
manabii wako, usikilize sala ya mtumwa wako na ya taifa lako Israeli ) x2
1. Wahurumie Ee Bwana watu walioitwa kwa jina lako, na Israeli uliyemwita mzao wako wa kwanza
2. Usikilize Ee Bwana sala ya mtumishi wako, sawasawa na kibali chako kwa watu wako