Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,157 | Umetazamwa mara 2,443
Download Nota Download MidiVigelegele na Vifijo amezaliwa Yesu Kristo ndiye Masiha wetu sote Iyelele tumshangilie Mwokozi x2.
1.(Kama ilivyotabiriwa atazaliwa Mkombozi naye atatutoa utumwani utumwani mwa shetani) {naye atatutoa utumwani mwa utumwani mwa shetani x2}
2.Tumshangilie Iyelele tumchezee ngoma ya nyumbani, tucheze pamoja kwa Furaha tumchezee ngoma ya nyumbani, {tumwimbie kwa Furaha Mwokozi x2.}