Ingia / Jisajili

Mpigieni Mungu Kelele Za Shangwe

Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Alan Mvano

Umepakuliwa mara 4,572 | Umetazamwa mara 11,970

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

( Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote ) x2

( imbeni utukufu, utukufu wa jina lako, tukuzeni sifa zake tukuzeni sifa zake aleluya) x2

MASHAIRI

1. Mwambieni Mungu matendo yako yanatisha, matendo yako yanatisha, yanatisha kama nini

2. Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, naam italiimbia, italiimbia jina lako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa