Ingia / Jisajili

Neno La Mungu Li Hai

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 85 | Umetazamwa mara 141

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Neno la Mungu li hai neno la Mungu li hai tena lina nguvu tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili X2

1. Tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake

2. Tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi mawazo na makusudi ya moyo

3. Wala hakuna hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake lakini vitu vyote vi utupu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa