Ingia / Jisajili

Ee Mungu nimekuita

Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 675 | Umetazamwa mara 1,773

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                            Ee MUNGU NIMEKUITA

Kiitikio:

Ee Mungu nimekuita, kwa maana utaitika x2. Utege sikio lako ulisikie Neno langu x2.

Beti:

  • 1.Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.
  • 2.Dhihirisha Fadhili zako za ajabu, Wewe uokoaye wanaokukimbilia.
  • 3.Ee Bwana usimame ukabili, mwinamishe, kwa upanga wako niokoe nafsi yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa