Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 174 | Umetazamwa mara 1,078
Download Nota Download Midi(Nalimlilia Mungu, kwa unyonge Mungu wangu) akaniepusha na adui yule mwovu x2 {sasa niko juu kutangaza neno lake Mungu msingi wake uko juu ya kilima x2}
1.Ee Bwana, nikuombapo wewe, usikilize sauti, sauti ya Dua zangu.
2.Ee Bwana, unifadhili mimi, ninakulilia Bwana mchana usiku kucha.
3.Ee Mungu, wa Rehema na Neema, mvumilivu na wingi wa Fadhili na kweli