Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 394 | Umetazamwa mara 1,451
Download Nota Download MidiFungueni pingu zenu, mawakala wa shetani (fungueni) achieni dhambi zenu Bwana Yesu atawale x2. {Fukuzeni mwovu ibilisi katika maisha yako. Yesu Kristo akupe amani nguvu pia ujasiri (fungueni) achieni dhambi zenu Bwana Yesu atawale x2}
1.Japokuwa dhambi zenu zimekuwa nyakundu, zitakuwa kama sufi mkikubali ya Kristo
2.Mkiyatii maneno yake Bwana Yesu Kristo, mtakula na kushiba kwake Yesu wa milele.
3.Miili zetu Ee ndugu ni Hekalu la mbinguni, takaseni kwake Yesu mkiomba mema yake.
4.Msikubali kwa kuwa mawakala wa shetani, fungueni dhambi zenu Bwana Yesu atawale.