Ingia / Jisajili

Tumekombolewa na Kristu

Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.

Makundi Nyimbo: Pasaka | Juma Kuu

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 401 | Umetazamwa mara 1,429

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tumekombolewa na Kristu msalabani, (BWANA Yesu) Ndiye njia ya uzima ya mbinguni. x2

  • 1.Nafsi yangu yamngoja Bwana Mungu, peke yake kwa kimya wokovu wangu hutoka kwake.
  • 2.Usikilize sala zetu Ee Bwana, wala usijifiche tukuombapo Rehema.
  • 3.Nimetangatanga nikilalamika, unilinde uhai wangu na hofu ya adui.
  • 4.Tumekombolewa na Kristu, msalabani, kifo cha Kristu ni safari ya kwenda mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa