Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 273 | Umetazamwa mara 1,252
Download Nota Download MidiWapandao kwa machozi, wakimlilia Mungu, katika mavuno yao ya safari ya mbinguni x2. {Wakiomba kila wakati kwa machozi yenye Huruma wakikesha kutafuta, amani ya Mungu mwenyezi, wakiwa na uchungu wakutafuta ufalme wa mbinguni x2.}
1.Unyenyekevu wa Mungu, ni Rehema kwa vizazi vyote hutulisha na kuponya kila amwombaye.
2.Kwa upendo wa amani, Mungu Baba anatujalia uambapo tukumbuke kutubu kosa.
3.Kisima cha wokovu, Bwana Yesu anatualika, tusimame kwa IMANI tukiomba Mungu.