Ingia / Jisajili

Mimi kiumbe chako

Mtunzi: Mayebwa.ii.ek.
> Mfahamu Zaidi Mayebwa.ii.ek.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mayebwa.ii.ek.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 336 | Umetazamwa mara 1,303

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mimi kiumbe chako, Bwana ninateseka na kuhangaika x2. {Mungu unisadie mimi kwenye matatizo ya dunia, Bwana uniokoe mimi kwenye ulimwengu wa kisasa, Mungu niokoe Roho yangu niwe wako x2}

1.Shida zinanikabili, mimi zinanitenga nyosha mkono wako Mungu wangu unisaidie.

2.Ninaposimama kwako, Bwana ninaanguka, nyosha mkono wako Mungu wangu unisaidie.

3.Matatizo ya magonjwa, mimi yananisonga, nyosha mkono wako Mungu wangu unisaidie.

4.Maneno na maseng'enyo, mimi yananijia, nyosha mkono wako Mungu wangu unisaidie.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa