Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 540 | Umetazamwa mara 1,946
Download Nota Download MidiEe Mungu uniumbie moyo safi uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
1.Ee MUNGU unirehemu sawasawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa rehemu zako uyafute makosa yangu
2. unioshe kabisa uovu wangu unisamehe dhambi yangu maana nimejua makosa dhambi yangu I mbele yangu daima