Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 640 | Umetazamwa mara 2,341
Download Nota Download MidiNinakushukuru Mungu wangu kwa zawadi ya uhai na baraka tele unazonikirimia wewe Mungu wangu X2 Nakushukuru Mungu asante wewe kimbilio langu milele
1. Unanilinda katika maisha yangu wanipa chakula ninakushukuru sana
2. marafiki zangu ulionijalia asante Bwana ninakushukuru sana
3. nasi wanakwaya tunakushukuru sana kutuleta hapa kwenye hija kawekamo