Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 587 | Umetazamwa mara 2,198
Download Nota Download Midishairi
1. Tufurahi tushangilie turukeruke pia tucheze, ndugu zetu wameamua kuitengeneza familia, oioi ni uamuzi uliobora sana
2.ninyi si wawili tena mmekuwa mwili mmoja, Mungu amewaunganisha dumisheni huo muungano, chereko nderemo vifijo ni furaha kubwa
Kiitikio. Hongera maharusi hongera, hongera hongera maharusi we tu hongera muwe familia yenye kumpendeza MUNGUX2