Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 369 | Umetazamwa mara 1,616
Download Nota Download MidiKiitikio
wahubirini mataifa habari za utukufu wake tangazeni wokovu wake siku kwa siku na watu habari za utukufu wake x2
1.mwimbieni bwana wimbo mpya mwimbieni bwana nchi yote mwimbieni bwana libarikini jina lake
2. mpeni bwana enyi jamaa mpeni utukufu na nguvu mpeni bwana utukufu wa jina lake
3.mwabuduni bwana kwa uzuri na tetemekeni mbele zake semeni katika mataifa ametamalaki