Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 783 | Umetazamwa mara 3,423
Download Nota Download MidiHiki ni chakula bora kilichoshuka kutoka mbinguni, mtu akila chakula hiki, anao uzima wa milele x2
MAIMBILIZI:
1. Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni
2.Aulaye mwili wangu nakuinywa damu anao uzim wa milele