Ingia / Jisajili

Furaha Ya Pasaka

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 26

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1. Furaha ya pasaka Yesu amefufuka, Tumshangilieni na tuimbe wote..

Bwana wetu leo amefufuka tumshangilie tupige makofi na vigelegele tuimbe aleluya.

2. Bwana Yesu mshindi vita ameishinda, ametukomboa kutoka utumwani...

3. Maria Magdalena walienda kaburini, asubuhi mapema kaburini hayumo...

4. Watu wa mataifa njooni tumsifu, tuimbe nyimbo nzuri tumshangilie...


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa