Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 1,900 | Umetazamwa mara 5,335
Download Nota Download MidiEe Mungu wangu mfalme nitakutukuza Mungu wangu nitalitukuza jina lako Mungu nitalitukuza jina lako milele 1.Kila siku nitakuhimidi nitalisifu jina lako milele.2.Bwana anafadhilini mwingi wa huruma si mwepesi wa hasira bali ni mwingi wa rehema 3.Ee Bwana viumbe vyako vyote vitakushukuru nao wacha Bwana Mungu watakuhimidi daima 4.Ufalme wako ni ufalme wa zamani zama zote mamlaka ni ya vizazi vyote