Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kristu Mfalme | Mwaka wa Familia (2014)
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 247 | Umetazamwa mara 1,736
Download Nota Download MidiTumearikwa mezani tukale chakula tukanywe kinywaji chenye uzima karamu takatifu toka mbinguni bwana ametuarika kushiriki x2
1.chakula chetu kutoka juu twende tushiriki mwili na damu ya bwana yesu
2.yeye alaye pia anywaye damu yake yesu kristo anauzima wa milele
3.meza takatifu meza ya upendo meza ya upendo na upatanisho meza ya heri