Mtunzi: Gabriel N. Kimani
> Mfahamu Zaidi Gabriel N. Kimani
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel N. Kimani
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Gabriel Kimani
Umepakuliwa mara 442 | Umetazamwa mara 1,395
Download Nota Download MidiNitayainua macho yangu nitazame milima msaada wangu utatoka
wapi, utatoka kwa Bwana x2
1. Asiuache mguu wako usongwezwe, yeye akulindaye asisinzie,
hatasinzia wala hatalala yeye mlinzi wa Israeli.
2. Bwana ndiye mlinzi wako. Bwana ndiye uvuli wako, husimama
mkono wa kuume husimama mkono wa kuume.
3. Atakulinda na mabaya yote, atakulindia nafsi yako, utokako
uingiapo na tangu sasa na hata milele