Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 37 | Umetazamwa mara 77
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka B
Msifuni Bwana msifuni Bwana (maana) huwaponya waliopondeka moyo X2
1. Msifuni Bwana maana ni vema kumwimbia Mungu wetu, maana kwapendeza kusifu ni kuzuri
2. Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu huwakusanya waliotawanyika wa Israeli, huwaponya waliopondeka moyo na kuziganga jeraha zao, huihesabu idadi ya nyota huzipa zote majina
3. Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu akili zake hazina mipaka, Bwana huwategemeza wenye upole huwaangusha chini wenye jeuri