Ingia / Jisajili

Familia Kanisa La Nyumbani

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 243 | Umetazamwa mara 983

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Familia bora na yenye maadili, ni ile ambayo hutegemea mwongozo mwema wa wazazi X2

(Familia ya kikristo kanisa la nyumbani) familia ya kikristo kanisa la nyumbani familia ni shule (ni) shule ya imani imani katoliki na maadili yake X2

2. Familia ndiyo kiini cha jamii, familia imara ni kuwa na jamii na kanisa imara X2

3. Familia huushuhudia ukristo, endapo watoto wanalelewa na kuelimishwa kikristo X2

4. Familia ya kikristo hutekeleza, wajibu wake wa kinabii kwa kutangaza neno la Mungu X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa