Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 26
Download Nota Download Midi1.Siku tatu amekaa kaburini kwaajili ya dhambi zetu, kaing'arisha dunia jua na mwezi, na hatimaye leo amefufuka.
Leo ni shangwe shangwe shangwe shangwe, ulimwenguni shangwe shangwe shangwe Yesu mwokozi shangwe shangwe shangwe, amefufuka shangwe shangwe shangwe.
2. Bwana Yesu aliteswa msalabani kwaajili ya dhambi zetu, kadhihirisha umungu na ubinadamu, ili mwisho tupate kukombolewa...
3. Furaha imetawala ulimwenguni pia mbingu washangilia, dunia sasa si tena ya shetani, ni yake Mungu ye aliyeiumba...
4. Njoni wote tujumuike kwa pamoja tusherekee ufufuko, twakaribishwa kujongea kwake mbinguni, tufurahie naye milele yote...