Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,141 | Umetazamwa mara 4,557
Download Nota Download Midi
Kiitikio:
Heri, heri mtu yule aonaye hekima, heri naye mtu yule apataye ufahamu(x2)
Mashairi:
1. Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi
2. Yeye ana thamani kuliko marijani, wala vyote uvitamanivyo havilingani naye.
3. Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kuume, pia utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
4. Njia zake zote ni njia za kupendeza sana, na mapito yake yote ni ya amani.