Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 2,955 | Umetazamwa mara 7,582
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 16 Mwaka C
Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako ni nani atakayekaa katika hema yako Bwana nani Bwana nani atakayekaa katika hema yako 1.Bwana ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu ni yeye aendaye kwa ukamilfu 2.Asemayekweli kwa moyo wake asiyesingizia kwa ulimi wake yeye ambaye hakmtenda mwenziwe mabaya hakmsengenya jirani yake