Ingia / Jisajili

Malaika Wa Bwana Akawatokea Wachungaji

Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 314 | Umetazamwa mara 893

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Malaika wa Bwana akawatokea wachungaji, Utukufu wa Bwana Ukawang'aria pande zote. "Msiogope, msiogope (kwa maana Mimi) ninawaletea habari njema X2 1. Kwa maana leo katika Mji wa Daudi, amezaliwa kwa ajili yenu, ndiye Kristo Bwana mwana wake Mungu. 2. Hii ndiyo ishara kwenu wachungaji, mtamkuta mtoto mchanga amevikwa, nguo za kitoto horini mwa ng'ombe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa