Ingia / Jisajili

Hodi Wachunga

Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: David Wasonga

Umepakuliwa mara 4,571 | Umetazamwa mara 9,810

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Bass: Hodi Wachunga, All: Hodi Wachunga Msiwe na Hofu (kwa maana) ninawaletea habari njema (x 2)
Amkeni Upesi,Amkeni Upesi,Amkeni Upesi kumwabudu Mfalme.

Mashairi:

  1. Msiogope wala msiwe na hofu, kwani ninawaletea habari ya furaha, maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa Mkombozi, ndiye Kristo, Kristo Bwana.
     
  2. Chukueni na zawadi kumzawadia Mfalme; Chukueni na dhahabu, ubani na manemane, mumzawadie Mfalme, pia mumsujudie.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa