Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 304 | Umetazamwa mara 1,410
Download Nota Download MidiSauti ya Mungu ilisikika kumuita mt Gaspar del buffalo tangu akiwa mdogo, alimpokea Yesu na kujikabidhi kwake Mungu upendo na sala vilikuwa mwanga wake katika maisha yake, pamoja na msaada kwa watu wake waliomaskinii wa roho na mwili, alitafakari sana juu ya safari ya mateso yake Bwana Yesu na juu ya damu yake ,iliyomwagika msalabani kwaajili ya wokovu wa watu wake, kwa maombezi yako wewe utuombee baraka kwa Mungu mwenyezi
1. sala pamoja na mafundisho mbalimbali ya kanisa ya msingi katika imani yalikuwa chimbuko toka kwa wazazi wake yakawa mwanga kwa ulimwengu mzima
2. tunaarikwa wote kwa pamoja kuyafuata mafundisho ya mt gaspar tudumishe upendo amani mshikamano , tuikamilishe agenda ya kwenda mbinguni