Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Wasonga David
Umepakuliwa mara 7,301 | Umetazamwa mara 13,305
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C
Kiitikio:
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu mioyo yenu, msifanye migumu mioyo yenu mioyo yenu.
Mashairi:
Njoni tuabudu, njooni tuabudu, njooni tuabudu tusujudu, tupige magoti mbele za bwana aliyetuumba, tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu, tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa zaburi.