Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,546 | Umetazamwa mara 6,895
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mimi nitamsifu Mungu wangu kwa kuimba, mimi nitamsifu Mungu wangu kwa kuimba, (mimi) nitamuimbia zaburi (mimi) nitamsifu kwa shangwe (pia) nitamtukuza daima nitamuimbia sifa.
Mashairi:
1. Nitampazia sauti ningali, ningali hai, nitamwimbia Mungu wangu siku zote za maisha yangu.
2. Nitamtukuza kwa zeze na filimbi, kwa kinanda cha nyuzi kumi nitamuimbia sifa.