Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Zaburi | Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 951 | Umetazamwa mara 2,748
Download Nota Download MidiWe we Bwana Mungu wetu jinsi lilivyo tukufu jina lako (Bwana) duniani mwote x 2
BETI
1. Nikiziangalia mbingu zako kazi za mikono yako mwezi na nyota ulizoziratibisha wewe
2. umemfanya mdogo punde kuliko mungu ume mvika taji ya utukufu u tukufu na heshima.
3. kondoo na ng'ombe wote wote pia na wanyama wa kondeni ndege wa angani na samaki wa baharini
4. umemtawaza juu ya kazi zako umemjalia mamlaka avitawale vyote ulivyo viumba wewe
5. Mtu ni nani hata umkumbuke naye binadamu ni kitu gani hata umvike taji la heshima