Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 325 | Umetazamwa mara 1,952
Download Nota Download MidiKiitikio
Ka bi la la ngu ka bi la la ngu
ni me ku te nda ni ni a u ni me ku si ki ti sha ni ni niji bu a u ni me ku si
ki ti sha ni ni niji bu *2
Mashairi
1. Ilinipasa kukutenda nini
kukutenda nini zaidi nisikutendee
2.
Nilikuopenda
kama shamba langu shamba langu zuri nawe ukawa mchungu sana kwangu
3.
Nilikulisha
majangwani ukanipiga makofi nawe ukanipiga makofi
4. Nilikunywesha maji ya uzima nawe
ukaninywesha nyongo nawe ukaninywesha nyongo na siki