Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Matawi
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 2,092 | Umetazamwa mara 3,959
Download Nota Download MidiKiitikio
Bwana alipoingia mjini Yerusalemu watoto wa wayahudi
walimlaki Bwana wakichukua matawi ya mitende mikoni mwao wakipaza sauti wakisema hosanna juu mbinguni
*2
Mashairi
1. Ni sikui le ya sita kabla ya siku
ile ya Paska, ndipo Bwana alipoingia mji mtakatifu mji wa Yerusalemu
2. Walipaza sauti zao juu wakisema kwa
furaha mbarikiwa wewe ujaye na mwingi wa rehema wewe mwingi wa rehema