Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 596 | Umetazamwa mara 2,517
Download Nota Download MidiKiitikio
Kristo alijinyenyekeza, Kristo alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti //:Naam mauti ya msalaba;//.
Shairi
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno akamkirimia jina lile lipitalo kila jina.