Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 2,778 | Umetazamwa mara 6,951
Download Nota Download MidiKiitikio
Kwa Bwana kuna fadhili ) x2
na kwake kuna ukombozi, kuna ukombozi mwingi
Mashairi
1. Ee Bwana toka vilindini nimekuliklika, Bwana uisikie sauti yangu, masikio yako na yaisikilize sauti ya dua zangu
2. Bwana kama wewe ungehesabu maovu ee Bwana nani angesimama? Lakini kwako kuna msamaha ili wewe uogopwe
3. Nimemngoja Bwana roho yangu imemngoja na neno lake nimelitumainia,
nafsi yangu inamngoja Bwana kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Ee Israeli umtarajie Bwana
4. Maana kwa Bwana kuna fadhili na kwake kuna ukombozi mwingi, yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote